Elections 2015 Kutoka Chuo cha Mipango, Dodoma: Mwigulu Nchemba atangaza nia kugombea Urais

Mwigulu tuambie utafanya nini?umeshafanya nini? Tupe mikakati brother.
 
Ila jamaa high table yake sijaelewa! !? Mke , mume na watoto kwisha duuuuh!
 
Mtu aliekaa sana madarakani ni mtu aliesahau shida za watanzania/ kwa hiyo wasira hafai.
 
Uzoefu ni mazoea ya starehe,Mwigulu kichwa kwa kweli,kweli wamekaa long time madarakani sisi shida tu wenyewe ni sherehe kila leo
 
Acha wafu wazike wafu wao ccm akuna aliye msafi
 
Huyu jamaa yuko vizuri sana ana kalba ya uongozi, hafanani ata kidogo na yule aliyekuwa anasoma kila kitu mpaka ccm oyeee.
 
huyu MWINGULU nae zero. Kama ni masikini ni umasikini wako.
Umeshafeli.

Unatuhubiria umaskini 4 what.?
 
Mbona mwigulu hatuelezi sera zake jamani? Au bado? Hizi stori zake za maisha yake kwa sasa hazitusaidii.
 
Yaleyale ya kujisifia umaskini, hivi kuna mtanzania ambae ni kiongozi alietoka familia ya kitajiri? Kwani kuwa maskini ni kipimo cha uwezo wa kuongoza?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…