Diva Beyonce
JF-Expert Member
- Mar 6, 2014
- 12,913
- 11,271
Nimempenda Mwigulu,Serikali ihamie Dodoma safi sana,Dar Ipumue sasa
Wakiamia na wizara mbali mbali jiji litapumua.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nimempenda Mwigulu,Serikali ihamie Dodoma safi sana,Dar Ipumue sasa
Kesho nitatangaza nia kupitia UKAWA
Alikua ana cheza cheza wakati Mwigulu kaingia.
Amekosea kwa kuanza anamnanga LOWASSA. Ina maana makongoro akitangazia nia butiama itakuwa kosa?
Toa sababu.
Hapana kuna uongozi usio na kikomo kama Chadema, Cuf.hivi ccm kuna demokrasia?