Elections 2015 Kutoka Chuo cha Mipango, Dodoma: Mwigulu Nchemba atangaza nia kugombea Urais

Elections 2015 Kutoka Chuo cha Mipango, Dodoma: Mwigulu Nchemba atangaza nia kugombea Urais

ccm hawana lolote wote ni wale wale tu
 
Mwigulu!! Lameck Madelu! rudisha vyetu vya msukuma wa watu kwanza !!!!!
 
Sasa ni zamu ya Mwigulu Nchemba na anatarajia kutangaza nia kuanzia saa 9 mchana wa leo na atafanya hivyo live kupitia star tv akiwa Chuo cha Mipango, Dodoma.
View attachment 255981
Muda: saa 9 Alasiri hadi Saa 12 Jion.
Mahali: Chuo cha Mipango Dodoma.
Ukumbi: Mwl. Nyerere Hall

Asante kwa kufatilia mchakato wa wana CCM maana UKAWA hakuna nafasi wala uhuru ...
 
Ukiona wanakodi watu kwa kuwasafurisha jua ndio mwisho wao umewadilia hizo ela wezitoa wapi na watazirudishaje? Huu ndio mwaka wa kufanya maamuzi magumu kwa kuachana na chama cha wachumia tumbo kila mtu apambane kuelimisha jamii ikifika october tuwapumzishe CCM
 
Nchemba ni muongeaji mzuri. Ila bahati mbaya ccm hawataweza kujikwamua hasa kwa kutumia mtu kama huyu ambaye kwa uhakika hana msuli wa kupambana na system iliomuweka. BADO. Labda anaanza mazoezi ya miaka ijayo.
 
Ogopa sana
 

Attachments

  • 1433084382006.jpg
    1433084382006.jpg
    8.5 KB · Views: 2,784
Fuso tano zimepanda UDOM kusombelea mataahira.
 
Mwigulu naye yupo kwenye sinema ya futuhi ya ccm kutangaza nia za kugombea uraisi?
 
Start tv live safari ya huzuni mwigulu mchemba
 
Back
Top Bottom