Elections 2015 Kutoka Chuo cha Mipango, Dodoma: Mwigulu Nchemba atangaza nia kugombea Urais

Elections 2015 Kutoka Chuo cha Mipango, Dodoma: Mwigulu Nchemba atangaza nia kugombea Urais

Hawa wacheza ngoma wamelipwa sh.ngapi?
 
Kweli jamaa mzalendo, wenzie waliwaleta kina Diamond, Ney na wengine yeye kaleta ngoma ya asili.

Ngoja tuone yatakayojiri
 
mnaosema amekodi watu si vibaya mkaweka picha za hao wanafunzi wakiingia kwenye hayo magari.,ili tumnange vizuri. Otherwise yatakuwa majungu, kwani kwa mantiki ya kawaida huo ukumbi hata akiita marafiki zake ndugu na jamaa na waandishi wa habari unajaa bila wasiwasi.
 
Sasa ni zamu ya Mwigulu Nchemba na anatarajia kutangaza nia kuanzia saa 9 mchana wa leo na atafanya hivyo live kupitia star tv akiwa Chuo cha Mipango, Dodoma.
View attachment 255981
Muda: saa 9 Alasiri hadi Saa 12 Jion.
Mahali: Chuo cha Mipango Dodoma.
Ukumbi: Mwl. Nyerere Hall

Mwendelezo wa SANAA ZA MAONESHO. Jana alikuwa Lower-Watch leo ni zamu ya Nchemba. Kesho sijui atakuwa mzee wa machozi?
 
poor organization hata Send off za huku uswahilini zinakuwa well organized kuliko tukio yake
 
Back
Top Bottom