mkosafedha
JF-Expert Member
- May 19, 2015
- 1,330
- 277
Hivi huwezi ukaweka mkutano bila kutafuta wasanii wa kutumbuiza?
Huo ni uoga nenda kajieleze kavu kavu.
Mkutano wa tyson(wasira) hakukuwa na watumbuizaji.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hivi huwezi ukaweka mkutano bila kutafuta wasanii wa kutumbuiza?
Huo ni uoga nenda kajieleze kavu kavu.
lowassa amefunika
Ndege wanaofanana huruka pamoja.NinaImani na Mwigulu , maana Ukawa hawaeleweki nao wajipange
NinaImani na Mwigulu , maana Ukawa hawaeleweki nao wajipange
Watu mara hawarembiMkutano wa tyson(wasira) hakukuwa na watumbuizaji.
Huyu anajidhalilisha sana
Wezi wanatangaza nia. Tuangalie nani ataleta hoja zenye mashiko.
Mkutano wa tyson(wasira) hakukuwa na watumbuizaji.
Kwan yupo uchi?
Mkutano wa tyson(wasira) hakukuwa na watumbuizaji.
Naangalia ITV hapa kuna taarabu je hawarushi live??
kigezo cha kipuuzi hiki,nadhani angesema amefanya nini kipindi cha ubunge na uwaziri mdogoHivi ni kweli alikuwa wa kwanza Chuoni kwa shahada ya kwanza?
Naangalia ITV hapa kuna taarabu je hawarushi live??
Kwa watu kweli kabeba wa kutosha kiukweli wametosha
unakumbuka jana nilikuambiaje?
hakuna mtu yyte ambaye atatangaza nia bila kutumia pesa.
Haijawa kutokea dunian eti rais wa nchi akachaguliwa kwamba ni mtu maskin, hana uwezo wa kifedha yuko usweken huko eti anatangaza nia ili agombee urais.
ivi umewah kujiuliza iyo tu gharama ya fomu ya mil 3 ni ndogo? sasa wanapata wapi?
mbona kuna watanzania wanakosa sh 5000 ya kuchukua fomu ya mtt wa kujiunga shule huyu atamuadu kutoa mil 3 kugombea urais?
hata hao upinzania njia ni hii hii, ishu je nani ndiye anayetufaa kwa sera na uwajibikaji?