Emma.
JF-Expert Member
- Jun 25, 2012
- 19,932
- 5,563
tar 25 oct tushirikiane kuondoa huu uchafu.
Tutawaondoa hawa wasanii wa futuhi octoba mwaka huu.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
tar 25 oct tushirikiane kuondoa huu uchafu.
Kweli jamaa mzalendo, wenzie waliwaleta kina Diamond, Ney na wengine yeye kaleta ngoma ya asili.
Ngoja tuone yatakayojiri
Hawa wacheza ngoma wamelipwa sh.ngapi?
Hawa Jamaa wametoa hela wapi ya kurusha matangazo live kwenye channels kibao?
Naona hii sasa imekuwa ndio fashion na utamaduni kwa wana-CCM wanaosaka uraisi.
Muda huu ninapoandika kuna magari aina ya coaster yamekodishwa ili kubeba wanafunzi wa chuo kikuu na kuwapeleka Chuo cha Mipango Dodoma kwenye tukio la Mwigulu kutangaza nia.
Nasikitika kuona hata wanafunzi wa vyuo vikuu nao hawajitambua!
Binafsi nimebaki naangali tu tukio hili nikiwa kwenye gate kubwa la kuingilia na kutoka hapa chuoni.
Wamejitolea kwa mzalendo mwenzao.
Hivi ni kweli alikuwa wa kwanza Chuoni kwa shahada ya kwanza?
Wanae!eza story walizohadithiwa na baba yake mwigulu hawasemi utumishi na siasa na nini aliachivu