Elections 2015 Kutoka Chuo cha Mipango, Dodoma: Mwigulu Nchemba atangaza nia kugombea Urais

Elections 2015 Kutoka Chuo cha Mipango, Dodoma: Mwigulu Nchemba atangaza nia kugombea Urais

Ukiwa Raisi, naondoka zangu kwa Nkurunziza. Vipi ule ugaidi wa Rwakatare?
 
Tujiulize swali Hili.Amewahi kuifanyia nini tanzania ili tukumbuke tumlipe fadhila kumweka pale patakatifu?
 
Mwigulu Falsafa yako ya MABADILIKO NI VITENDO WAKATI NI SASA ni Falsafa inayopopoa na haiwezi kumbadilisha mwananchi wa kawaida.
 
Wamemvalisha skafu au hirizi yake tayari naona
 
Back
Top Bottom