The Businessman
JF-Expert Member
- Jan 9, 2014
- 7,397
- 9,255
Amekuja na watoto wake hii mimi binafsi nimeipenda.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wamemvalisha skafu au hirizi yake tayari naona
Amekuja na watoto wake hii mimi binafsi nimeipenda.
Ninaamini Nchemba anajua fika hawezi kuupita msitu wa Lowasa, Membe, Wasira, Mwandosya, Pinda, na wengineo ambao ni wakongwe wa siasa. Ila anafanya investment ya mwaka 2025. Ni kama tu Kikwete alivyojitupa kwenye kuwania nafasi hiyo mwaka 1995.
mke wake amenishika pabaya kwa urembo.
hahahahahaha,Jushua na wadogo zake umewaona,ana watoto wazuri pia,Nice family
Wanaanza na maombi safi sana.Wassira kulikuwa hamna sala