Elections 2015 Kutoka Chuo cha Mipango, Dodoma: Mwigulu Nchemba atangaza nia kugombea Urais

Elections 2015 Kutoka Chuo cha Mipango, Dodoma: Mwigulu Nchemba atangaza nia kugombea Urais

Ninaamini Nchemba anajua fika hawezi kuupita msitu wa Lowasa, Membe, Wasira, Mwandosya, Pinda, na wengineo ambao ni wakongwe wa siasa. Ila anafanya investment ya mwaka 2025. Ni kama tu Kikwete alivyojitupa kwenye kuwania nafasi hiyo mwaka 1995.
 
Huyu mama wa startv anaona sifa pekee ya mwigulu ni kuwa wakwanza darasani..duh😕
 
StarTV production mbovu, cjui kwa nini Azam TV hawaioneshi japokuwa walitutangazia wangeonesha.
 
Ninaamini Nchemba anajua fika hawezi kuupita msitu wa Lowasa, Membe, Wasira, Mwandosya, Pinda, na wengineo ambao ni wakongwe wa siasa. Ila anafanya investment ya mwaka 2025. Ni kama tu Kikwete alivyojitupa kwenye kuwania nafasi hiyo mwaka 1995.

Uko sahihi hata ningekuwa ni mimi unanza kujitengenezea "kajina" mapema.
 
Wanaanza na maombi safi sana.Wassira kulikuwa hamna sala
 
hahahahahaha,Jushua na wadogo zake umewaona,ana watoto wazuri pia,Nice family

Correct amejaribu kufuata Uzazi wa mpango sio sie wengine tuna watu tisa na wake wawili wawili sasa hujui utoka nao vipi out hata Noah haitoshi kuwabeba wote.
 
Mbwembwe nyiiingi...bado strategic wa Wassira wako juu
 
Mbwembwe nyiiingi...bado stratejist wa Wassira wako juu
 
Back
Top Bottom