Elections 2015 Kutoka Chuo cha Mipango, Dodoma: Mwigulu Nchemba atangaza nia kugombea Urais

hakuna idea zaidi ya mbwembwe
 
Sikuwa nimemfikiria huyu kijana kabisa kwenye huu mchakato. ila kwa jinsi anavyomwaga Sera aisee huwezi kumlinganisha na aliyokuwa anaongea Lowassa Jana tena kwa kusoma huyu anatoa kichwani na anaongea mambo ya msingi aisee mpaka sasa anaongoza kulinganisha na wote waliotangaza nia kwa upande wa CCM naendelea kufuatilia
 
Naibu Waziri wa Fedha analalamikia KODI na TOZO zenye kuleta kero kwa wananchi ilhal wizara anayoongoza ndiyo inayoanzisha na kusimamia ukusanyaji wa kodi na tozo hizo. Anamlalamikia nani ilhal yeye ndiye mhusika mkuu.

Hapo ndiyo nasema kuwa anaongea kama anaimba BONGO FLEVA
 
Hajazungumzia AFYA, ELIMU, UFISADI na RUSHWA, MIUNDO MBINU, USALAMA WA NCHI.HAMNA RAISI HAPO. ABAKI TU AKAFUNDISHE UCHUMI UDSM.
Labda muda wakampeni anaweza sema
 
Ndani ya CCM ni Lowassa na Mwigulu tu ndo angalau, natamani sana nione serikali ikiongozwa na Lowassa kama Rais na Mwigulu kama Waziri mkuu.
Naona usahaulifu wako umepitiliza. Ni lini Lowasa amesafishwa katika kashfa Richmond? Fisadi mkubwa!
 
Huyu mh. Anavyoponda utawala utafikiri hayupo kwenye system! Mara mfumo mbovu wa kodi wakati yeye ndo incharg.. Maajabuu
 
Lowasa kama kaangalia hizi hotuba za wenzake kuanzia asubuhi atakuwa kajiona ni mtu mjinga sana.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…