Steph Curry
JF-Expert Member
- Dec 20, 2012
- 5,936
- 4,707
Awe mke wamwigulu asijue waalikwa
Simaanishi Juliana.. Aliuliza wale watoto pale high table ni wa nani
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Awe mke wamwigulu asijue waalikwa
Ndo maana nikasema kama idea zake akiziweka kwenye matendo kweli kwa mfano kupunguza matumizi,kuvaa vya pamba ya kwetu.Nimemsoma THOMAS SANKARA kiukweli sijaona mfano wake,maana mawaziri walipanda economy class kwenye ndege,na mengine kibao katika kupunguza matumizi
Hawa watu wapewe mdahalo...Nadhani yule mzee anaweza kuzimia
Namjua kidogo sana....ohooo kumbe unamzungumzia bibie?Kwahiyo nae kaolewa?
Inamaana alivyochoropoa za mtoa hotuba ndio maana hakuna kitu tena?
Labda muda wakampeni anaweza semaHajazungumzia AFYA, ELIMU, UFISADI na RUSHWA, MIUNDO MBINU, USALAMA WA NCHI.HAMNA RAISI HAPO. ABAKI TU AKAFUNDISHE UCHUMI UDSM.
Naona usahaulifu wako umepitiliza. Ni lini Lowasa amesafishwa katika kashfa Richmond? Fisadi mkubwa!Ndani ya CCM ni Lowassa na Mwigulu tu ndo angalau, natamani sana nione serikali ikiongozwa na Lowassa kama Rais na Mwigulu kama Waziri mkuu.
Wako matured kwa kiasi chake aisee tofauti na kule.
atlast mtu anaongea the hows.Siyo mtu unamention tu
Mwigulu kasindikizwa na Juliana???hatutaki rais mgoni