Elections 2015 Kutoka Chuo cha Mipango, Dodoma: Mwigulu Nchemba atangaza nia kugombea Urais

Elections 2015 Kutoka Chuo cha Mipango, Dodoma: Mwigulu Nchemba atangaza nia kugombea Urais

hakuna idea zaidi ya mbwembwe
Ndo maana nikasema kama idea zake akiziweka kwenye matendo kweli kwa mfano kupunguza matumizi,kuvaa vya pamba ya kwetu.Nimemsoma THOMAS SANKARA kiukweli sijaona mfano wake,maana mawaziri walipanda economy class kwenye ndege,na mengine kibao katika kupunguza matumizi
 
Sikuwa nimemfikiria huyu kijana kabisa kwenye huu mchakato. ila kwa jinsi anavyomwaga Sera aisee huwezi kumlinganisha na aliyokuwa anaongea Lowassa Jana tena kwa kusoma huyu anatoa kichwani na anaongea mambo ya msingi aisee mpaka sasa anaongoza kulinganisha na wote waliotangaza nia kwa upande wa CCM naendelea kufuatilia
 
Naibu Waziri wa Fedha analalamikia KODI na TOZO zenye kuleta kero kwa wananchi ilhal wizara anayoongoza ndiyo inayoanzisha na kusimamia ukusanyaji wa kodi na tozo hizo. Anamlalamikia nani ilhal yeye ndiye mhusika mkuu.

Hapo ndiyo nasema kuwa anaongea kama anaimba BONGO FLEVA
 
Ndani ya CCM ni Lowassa na Mwigulu tu ndo angalau, natamani sana nione serikali ikiongozwa na Lowassa kama Rais na Mwigulu kama Waziri mkuu.
Naona usahaulifu wako umepitiliza. Ni lini Lowasa amesafishwa katika kashfa Richmond? Fisadi mkubwa!
 
Back
Top Bottom