nkongu ndasu
JF-Expert Member
- Jan 19, 2013
- 22,532
- 6,624
kukaa muda mrefu serikalini huenda ukawa unaisababishia serikali hasara
cc Mafisadi wote
haa haa na ccm yenyewe.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
kukaa muda mrefu serikalini huenda ukawa unaisababishia serikali hasara
cc Mafisadi wote
Hivi Chadema wao hamna watangaza nia wao wana mgombea urais wa maisha Dr.Slaa.
Wafuasi wa Chadema masikini ya Mungu wamekosa hii fursa ya kuwajadili wagombea urais.
Lakini bahati nzuri wanawajadili wagombea wa CCM.
Hahahahahaa hata mimi najifunza hapa maana mwaka huu na mimi ndio nitaanza kupiga kura rasmi.
Sitaki kubaki na majuto kama hayo yako.
Mkuu Cargo, hizo si tuhuma bali ndo uhalisia. Situmii ile ya chogo. Nifah anaijua vema coz kuna siku nilimleta home tukaspend one night na ndivyo alivyoenjoy kuiangalia
Mnaomlinganisha na lowassa nenendi mkaangaliwe afya zenu. Mwigulu yupo vizuri.
Tuwaamini Wapinzani.. Hiki chama kimesha choka.. Yote haya wapinzani wameshasema hasa CHADEMA
huu ndo unafiki wa viongozi wa ccm wakiwa huko hawaongei?
Wewe mkata viuno wa Diamond punguani kweli mimi nawakubali wote hata Padre Slaa hana uwezo wa kujenga hoja kama Mwigulu.Wewe msukule wa lowassa ona kijana anavyomvua nguo tajiri yenu.
Mpaka sasa Wassira anaongoza kwa kutoa speech yenye akili.lowasasa anafunga mkia.
Mnaomlinganisha na lowassa nenendi mkaangaliwe afya zenu. Mwigulu yupo vizuri.
Hawa wote tupa kule,
Lowasa ndo mpango mzima.