Elections 2015 Kutoka Chuo cha Mipango, Dodoma: Mwigulu Nchemba atangaza nia kugombea Urais

Elections 2015 Kutoka Chuo cha Mipango, Dodoma: Mwigulu Nchemba atangaza nia kugombea Urais

Hata kama hatapata ila kuyasema tu haya anatimiza wajibu wake. Tukiwa wengi wa namna hii nchi itaenda na watu watapata ujasiri. Hongera Mwigulu kwa kutimiza wajibu wako wa kusema unachoamini.
 
Wenzake wa chama wanaweza kumpiga chini wakiona kama sio mwenzao kwani wamezoea kula na kusaza. Sasa akiingia uraisi wanaamini atawageuka

kwa lugha rahis tunaweza kusema kuwa naye anakiri kuwa serikali ya kikwete ilikuwa na mapungufu makubwa sana...utekelezaji ataweza au ndo wale wale tu
 
Mchumi katika ubora wake aisee,ana maono ila mfumo ndiyo janga,ngumu kumwamini unless aende upinzani
 
Mkuu Cargo, hizo si tuhuma bali ndo uhalisia. Situmii ile ya chogo. Nifah anaijua vema coz kuna siku nilimleta home tukaspend one night na ndivyo alivyoenjoy kuiangalia

Ayayayayaya, yamekua hayo tena jamani?
Taratibu bwana mkuu Lizaboni usiniharibie ndoa yangu...mume wangu yuko humuhumu, ohoooo!
 
Last edited by a moderator:
Mh anaongelea serikali gani? Iliyompa uwaziri au!? So na yeye ni part ya the said "rotten system" kwanini asisimame kama mgombea binafsi if the constitution allows any way..... Maana anapaka matope mbeleko inayombeba.. So kupitia uovu wa mbekeko hivyo wananchi watapata mashaka na yeye kuwa "safi" wakati mbeleko hiyohiyo bado inambeba
 
Suala la mishahara hewa mbona limemshinda???
 
Mwigulu anaongea kama yuko nje ya system....na indirectly ni kama kuonesha aliyeko ni bogus.

Mweee bora useme wewe manake unakosoa kile kitanda unacholalia kama hakifai si uchonge kingine? Sasa huyu mwingulu anataka kutudanganya wakati chama ni taasisi.
 
Hakika UKAWA wanaendelea kupata pigo...
 
Haya maneno matamu hata JK aliyasema 2005.

Hatutaki blablaa, tunataka maamuzi magumu.
 
Alicho nifurahisha Mwigulu jukwaani kapanda mwenyewe bila ya kusukumwa na mulinzi kama mkokote,hotuba yake ana itoa bila kusoma mahali popote,ana sitamina ya kutosha ya kumuwezesha kusimama muda mrefu,ana uwezo wa kuongea kipindi kirefu bila kukaukia mate,mbele yake hakuna hata glasi yenye chembe ya maji.

Tatizo ni chama anachopitia kugombea ambacho hata Mungu kakikataa na hata shetani naye ana elekea kukikataa.
 
Back
Top Bottom