nuruyamnyonge
JF-Expert Member
- Mar 18, 2014
- 4,408
- 2,196
Mwigulu anayoyasema Chadema walisha tuambia je! Utaweza peke yako wakati magamba yamegoma kuondoka na jana yaliwatikisa ili kutishia chama kiogope?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Haya maneno matamu hata JK aliyasema 2005.
Hatutaki blablaa, tunataka maamuzi magumu.
Sio hivi tu Mkuu,dola imemshinda na uchumi wake daraja la kwanza.
Wewe na Richmonduli asali na maji? Tulishakuambia hafai.Hana maamuzi ni advisor tu, haki yake mpeni aisee, anafaa kuwa PM wa Lowassa huyu nchi itanyooka, hajaanza kuyasema leo hata bungeni tunamuona akiyasema tangu alipopewa unaibu.
Unadhani 2025 hamna watu wanataka urais? Kuna akina January, Nchimbi, Mtoto wa mwinyi, na yule wa mkwere! Kaa chonjo Sana! Halafu usimsahau Kigwanocs
Mwenye TV kampa airtime bure kama mchango wa kumkubaliTumebanwa Mbavu Ktk Kodi Mkuu.........We Acha Tu Yaaaaani!!!!!!!
Hunizidi mimi nina hamu balaa.Ila nisivyopenda kukaa kwenye foleni mbona nitakoma?
Ila itabidi nijidai mimi gamba maana kuna mjumbe wetu ni gamba alisema magamba yatapewa kipaumbele....nilishaandika hadi jina.
Kumbe huwa una akili timamu ukiamua eeeh.
Kumbe huwa una akili timamu ukiamua eeeh.
At least his better than EL.Kuanzia presentation na kujenga hoja.Wakipambanishwa na EL bila matumizi ya fedha.EL atapigwa raundi ya kwanza tu.
naibu waziri anataka uraisi
Wewe mkata viuno wa Diamond punguani kweli mimi nawakubali wote hata Padre Slaa hana uwezo wa kujenga hoja kama Mwigulu.
Nawashauri UKAWA kura zao wampe Mwigulu akikatwa CCM aje kugombea UKAWA.