Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Unajuaje kama hajampa?
Tyson kajitutumua kivyake bado
Masupu
Kigwangalala
Maembe
Masix
Makembe
Yaani tangu Jana mpaka Leo ni drama tu. Yoote wanayoongea ingekuwa mjengoni a'fu wapinzani wakayasema wange pinga kwa nguvu zote. Poor ccm.
Jamaa akichaguliwa ataongeza magereza maana atafunga wote ndani ya ccm
At least leo mtangaza nia kidooogo ana vision ..kww mbeleni atawafaa endapo akiacha kutumiwa kuwanyanyasa wapinzani
Vipi mkuu upooo?Tumebanwa Mbavu Ktk Kodi Mkuu.........We Acha Tu Yaaaaani!!!!!!!
Hivi watu mtakuja kusema nini mtakapogundua Mwigulu ni team Lowassa?
Hv mgombea wa ccm anavyoongelea vitu kama atahakikisha maji yanakuwepo, tuwaeleweje, wamefanya nn kama chama tawala kuleta maji na mpk tusubiri achaguliwe kuwa rais
Ila naongea point kusema ukweli,ni kweli kuna vijana hawana kazi huku wengine wanastaafu na kupewa madaraka tena,jamani enough is enough
Hahahahahaa kule wanajitoa fahamu tu.
Hata Chinga One yuko vizuri sana huku, hua namkubali kwelikweli..
Hahahahahaa kule wanajitoa fahamu tu.
Hata Chinga One yuko vizuri sana huku, hua namkubali kwelikweli..
Hata mimi nitafanya kila mbinu Mpaka nipate kitambulisho by any means aisee sitakubali. Kumbe kuna wanaoandika hadi majina makubwaaa😱