Elections 2015 Kutoka Chuo cha Mipango, Dodoma: Mwigulu Nchemba atangaza nia kugombea Urais

Elections 2015 Kutoka Chuo cha Mipango, Dodoma: Mwigulu Nchemba atangaza nia kugombea Urais

bado siamini maana chama chao kina wenye chama. Hapa anatafuta tu huruma ya wananchi. Akiingia sidhani kama atatenda yote hayo.
Atafanya maana yeye ndo atakuwa TOP,Sasa hivi inakuwa ngumu maana yeye siye RAISI
 
Kutambua shida, umasikini, and what have you haitoshi maana kila mtu anatambua hayo. Issue ni how utatatua changamoto hayo?
 
Wewe mkata viuno wa Diamond punguani kweli mimi nawakubali wote hata Padre Slaa hana uwezo wa kujenga hoja kama Mwigulu.

Nawashauri UKAWA kura zao wampe Mwigulu akikatwa CCM aje kugombea UKAWA.

Ona mpaka waona aibu kutambulika kuwa ni mramba miguu wa lowassa.. Mzee wenu ni disappointment ata kuongea awezi anajua kuwanunua nyie na wake zenu.
 
Vijana wakipata nafasi wakapata wazee wa kuwashauri vizuri naamini wataleta mabadiliko.Lowasa,Wassira,Membe,Pinda,Mwandosya,Slaa,Lipumba hawa wote wameshafika miaka 60.Ngoja tuwasikilize kina January,Ngeleja,Kigwangala na Nyalandu
 
Hawa ccm ni futuhi tosha sera za ccm ndo wanatuletea sisi hawana jipya.
 
Ila kusema kweli Mwigulu anafaa sana kuwa Rais.. Hayo anayoyasema sio tu anayasema kufurahisha genge ila najua kabisa anamaanisha.

I met him 2008 pale ofisini kwake BOT Arusha kabla hajaingia kwenye siasa.. Na haya anayoongea yalikuwa yanamuumiza tangia kipindi hicho. Kuwa kwake Naibu waziri kwenye hii rotten system hakuwezi kushusha credibility yake kwa maana yawezekana ana nia ya dhati kabisa ila wengine ndio wanamwangusha. Kwa CCM mtu pekee ambaye labda naweza kumpa kura yangu ni huyu jamaa..

Ndani ya ccm hata ashuke malaika atatoka akiwa shetani.
 
Vijana wakipata nafasi wakapata wazee wa kuwashauri vizuri naamini wataleta mabadiliko.Lowasa,Wassira,Membe,Pinda,Mwandosya,Slaa,Lipumba hawa wote wameshafika miaka 60.Ngoja tuwasikilize kina January,Ngeleja,Kigwangala na Nyalandu

Kweli mkuu. Hilo neno.
 
Hadi namba za simu.Ila alitoa sharti la kuchukua kadi ya magamba baada ya kujiandikisha, halafu ikitokea mikutano atakua anatutafuta.
Nikishapata kitambulisho atanichukiaje? Hizo chenga atakoma mwenyewe.

Siuna chukua kadi una sepa moyoni wajua ulitendalo basi.
 
Rushwa:Hakuna kuleana tena safi sana bora Mwigulu unarudisha heshima kwenye CCM

Kumbe mnajua kuwa Rushwa ndio SISIEMU sasa mbona mnakuwa wakali mkiitwa MAFISADI mnapaniki
 
Back
Top Bottom