Ila naongea point kusema ukweli,ni kweli kuna vijana hawana kazi huku wengine wanastaafu na kupewa madaraka tena,jamani enough is enough
Tehetehetehe! Dada nifah bana! Haya. Ulidhani kwamba natumia ile ya chogo?
Mkuu huyu anaivua nguo serikali yake.
Huyu braza angalau anaongea points tena kwa uchungu.
Samahani jamani! Hapo shingoni hiyo ni skafu au mashono ya koti lake?
Hawa wote tupa kule,
Lowasa ndo mpango mzima.
Huyu bibi atakua kaandaliwa sio bure...
Unajuaje kama hajampa?Mbona huu ushauri hakumpa Jk.
kwenye gass hatarudia makosa, kama jamaa wanaharakisha kusign mikataba hatakubali, ina maana hakuna mikataba ya gass iliyokwisha sainiwa au jamaa anawaburudisha wasikilizaji.
Mwugulu anaendelea kujipambanua katika ubora wake
Ila naongea point kusema ukweli,ni kweli kuna vijana hawana kazi huku wengine wanastaafu na kupewa madaraka tena,jamani enough is enough
Kwa hoja hizi, Mwigulu kwangu mwafaka kabisa, tatizo ni akifika ataweza kupambana na kuubomoa mfumo?
Naona mwigulu anachambua serikali ya kikwete sio kutoa hotubaa ya kuomba ridhaa