Elections 2015 Kutoka Chuo cha Mipango, Dodoma: Mwigulu Nchemba atangaza nia kugombea Urais

Elections 2015 Kutoka Chuo cha Mipango, Dodoma: Mwigulu Nchemba atangaza nia kugombea Urais

Ila naongea point kusema ukweli,ni kweli kuna vijana hawana kazi huku wengine wanastaafu na kupewa madaraka tena,jamani enough is enough

bado siamini maana chama chao kina wenye chama. Hapa anatafuta tu huruma ya wananchi. Akiingia sidhani kama atatenda yote hayo.
 
Nimemkubali maana anaijua Tanzania kuliko wote waliopita.
Anafaa kuwa kiongozi kama atapata support kubwa ana point za ukweli
 
huyu hataki urais na itakuwa kejeli kubwa sana ! bali kuna uhakika kwamba ili ufikiriwe uwaziri ndani ya ccm tishia kugombea urais .
 
Jamaa akichaguliwa ataongeza magereza maana atafunga wote ndani ya ccm
 
Mbona anarudia ya akina Lissu bungeni wanayosemaga kila siku. Hawa Jamaa wanatufanya wajinga sijui?
 
kwenye gass hatarudia makosa, kama jamaa wanaharakisha kusign mikataba hatakubali, ina maana hakuna mikataba ya gass iliyokwisha sainiwa au jamaa anawaburudisha wasikilizaji.

Dah! okei, ni hivi,
anamaanisha yeye akiwa rais!
 
Ila naongea point kusema ukweli,ni kweli kuna vijana hawana kazi huku wengine wanastaafu na kupewa madaraka tena,jamani enough is enough

..tatizo ni uchache wa ajira.

..yaani kasi yetu ya kuzalisha ajira haiendani na mahitaji ya ajira.

..sasa huyu mchumi daraja la kwanza anafikiri tatizo ni wazee kupewa ajira.

..kwa mtizamo wangu he is misguided kufikiri kwamba tatizo ni wazee kupewa nafasi.

..halafu hao wazee anaowananga, mfano Mzee Kinana, wamekisaidia chama kuliko vijana kama Mwigulu na wenzake.
 
laki si pesa Wa lowasa,lizabon Wa membe, faiza foxy Wa January,hayaa ndugu zetu kila MTU ana MTU wake
 
Naona mwigulu anachambua serikali ya kikwete sio kutoa hotubaa ya kuomba ridhaa

Hapana Mkuu mbopee jaribu kuitafakari vizuri. Na ili ufanikiwe lazima ujifunze ambapo mwenzako kakosea ni zama za ukwel na uwazi
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom