Elections 2015 Kutoka Chuo cha Mipango, Dodoma: Mwigulu Nchemba atangaza nia kugombea Urais

Hili la kuiba mali za uma na kujisifia kuwa wewe ni tajiri....nadhani mwigulu anamchokoza mzeeee
 
Hii sheria yakila mtu kuwa nauhuru wakutangaza nia ya Unyerere inabidi iangaliwe upya mana imekuwa dharau kwa taasisi hii mhimu
Tatizo hujazoea demokrasia, wanayo haki kufanya hivyo ili kutupa uwanja mpana wa kuchagua nani aliesahihi
 
Hapo ndio ujue siasa ni uongo kudanganya Wana nchi
Watanzania wasitegemee jipya kutoka ccm kwa miaka 53 wameshindwa miaka 5 wataweza wapi huu ni usanii.
 
Mwigulu ....... Mambo ya kufikirika .......

haswaaaa nimemaliza kusema hivi sasa hivi strange

Mbo amekuwapo tu?? au hadi awe rais ndio ataweza?

Anatupa harufu nzuri ila atatupa hiko chakula??

Hajaongelea Mambo ya elimu, huduma za jamii, mahusiano ya kimataifa???

Sijasikia amesema nini kuhusu kuwa kwake katika naydhifa mbalimbali bila kufanyia kazi hizi kero zetu

Kwa nini anasema 'atawavusha watanzania' badala ya kusema 'tutavuka' then anarekebisha

is he in or out?
 
Eti anataka kujenga misingi iliyobomoka!
Nani amebomia hiyo misingi?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…