Elections 2015 Kutoka Chuo cha Mipango, Dodoma: Mwigulu Nchemba atangaza nia kugombea Urais

Gamba la tatu hiloo.sijuwi kesho anafuata nani.mpaka sasa sijaona wa kukamata moto wa Ukawa. Hawa wote watatu saizi yao Salum Mwalimu anawatoa knock out.
 
Leo Mwigulu amegusa mambo muhimu kwa watanzania,ingawa Mimi si mfuasi Wa Ccm kamzidi hata Lowasa katika kutoa hotuba na kuelezea matatizo ya Watanzania,hadi sasa namuona Mwigulu yupo vizuri kuliko Lowasa
 

Mazombi yapoamua kufarijiana haina mbaya .
 
Last edited by a moderator:
Maskini wanatumia nyimbo za marehemu wao.

Maskini Komba nyimbo zake zinavuma wakati ameshakufa hata jana Lowasa aliomba apigiwe wimbo wa komba lakini Dj hakupiga kabisa.
 
Hata madj wa leo wana akili kuliko wale wa lowasa jana
 
Hotuba ya mwigulu nchemba ina mashiko na maslahi makubwa ya taifa na namna taifa hili lililopofikia....siamini kuona kijana kama huyu kuwa na uwezo mkubwa wa kuelezea mambo na kuyapambanua.....na nisomo kwa watanzania......pia amewaambia watanzania wachague kiongozi anaechukia rushwa na mali anazomiliki ziwe halali na asitumie fedha alizojilimbikizia wakati akiwa madarakani ili kuwanunua watanzania.....hotuba ya mwigulu imenigusa bila kujali itikadi.KWA HOTUBA HII NI DHAHIRI LOWASSA HAWEZI KULIONGOZA TAIFA HILI KWA KULENGA KULINYONYA ZAIDI TAIFA NA KULIACHA KAMA MIFUGO ILIYOKOSA MARISHO KWA UKAME.
 

Pale jukwaani ninamuona BONNI MWAITEGE akiongoza mapambio
 
R.I.P Komba Nyimbo zake zinaishi , please Mpelekeeni Mjane kiasi cha mboga mumewe kaacha Hazina kwenu CCM ....
 
Hakika UKAWA wamegaragazwa...Slaa tutamkabidhi kwa HKigwangalla ana mtosha ...
 
Last edited by a moderator:
Tunaimani na wewe




Sauti za watumbuizaji......🎵🎵🎵🎶🎶🎶🎶🎶🎶🎶🎶🎸🎸🎸🎸🎸
 
Maigizo Ya El baado yanaendelea mtalipiana mpaka Airtime lakini Ukawa ndio Habari ya Mjini
 
Kaongea kwa hasira sana na nimemuona j shonza ndani ya nyumba.

swissme
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…