Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Teh Teh mkuu Ritz umenikumbusha maneno ya rafiki yake Josephine na Dr Slaa alisema hivi jana...
Asiye mtaka Lowasa akale limao-Ngwajima...
Hakika UKAWA wanaendelea kupata pigo hakika CCM kuna vichwa yani Dr Slaa na Mbowe wako hoi huko waliko ukichanganya na kusalitiwa jana na Ngwajima lazima Slaa yuko ICU
Maskini wanatumia nyimbo za marehemu wao.
anaweza akaingia ukawa kama atatoswa na chama chake hahahaah
Kila mtu anatumia ushaifu wa mwenzake kujinadi.
Tumekuja huku Ku discuss mambo muhimu kwa mustakabali wa taifa.
Diva Beyonce na Dada nifah naona Leo mpo huku.
Mtamshawishi vipi wakati alishajiaribia tayari...!
Mwacheni tu! "Maana hamna namna."
Wale wa Lowasa walikuwa wameshalewa viroba.Hata madj wa leo wana akili kuliko wale wa lowasa jana