Elections 2015 Kutoka Chuo cha Mipango, Dodoma: Mwigulu Nchemba atangaza nia kugombea Urais

Well said on Shilling vs Dollar. I wish hilo swali lingeulizwa jana.
 
Maneno meeeengiiiii........ Sifa kibaaaaoooooo..... Kwa nafasi yake ya uwaziri kafanya nn??????

Fedha inashuka thamani kwa ajili ya utegemezi ,kwamba tunanunua kuliko kuuuza.. Serikali anayo iongoza si ndo imetufikisha apa ? Si wao ndo wameua viwanda vyote ? Si wao ata madini na ifadhi zetu wameshindwa kuendeleza ....anamlalamikia nani sasa?.
 
Hakika Kama Mbowe na Lema wamesikiliza basi wamejifunza kitu..
Hivi kumbe kuna watu wanaitwa Mbowe na LEMA,asante kwa kunikumbusha nilishawasahau long time.Kusema ukweli hotuba ya leo ilikuwa shule tosha
 
Haya majibu yake kuhusiana na kushuka kwa fedha yetu ni mepesi sana action zake ni miaka itachukua so tutaendelea kuteseka tu
 
Bahati nzuri huyo jamaa hapo mbele ni moto wa kuotea mbali hakupata sifuri kama Mwenyekiti wa chama chetu!

Hahahaha,hizi ligi zenu huku siziwezi.Nisijetia neno bavicha wakaniletea kigodoro bure!
 

Toka aliporudi toka Nigeria alibadilika sana ila kama usemavyo chama chake ndio shida
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…