Elections 2015 Kutoka Chuo cha Mipango, Dodoma: Mwigulu Nchemba atangaza nia kugombea Urais

Elections 2015 Kutoka Chuo cha Mipango, Dodoma: Mwigulu Nchemba atangaza nia kugombea Urais

Watch "PART 1:MWIGULU NCHEMBA ALIVYOCHUKUA FOMU YA KUWANIA URAIS WA TANZANIA" on YouTube - https://youtu.be/X5MjYwcro54
 
Ameshindwa simamia tshs/ US$

bandarini uozo bado upo pale pale!/

kuthibiti hilo likampuni linalopitisha makontena halo port (chini ya viwango halali) ni ngumu/
 
Waacheni wachague waamini kile wanachoamini ni watanzania wana uhuru wa kuchagua kumpa surpport mtu yeyyote wanayetaka kumwamini

Nakubaliana na wewe mkuu, wapo pia wenye imani n Lowasa, Membe, Wassira,Sumaye.....nk. Mwisho october atapatikana raisi mmoja tu. Sasa hivi kila mtu ana haki ya kuwa na imani na yeyote anayemtaka.
 
Kama amewapeleka studio....kwa nini wasimwamini? Shida yangu ni kama EL naye atataka awapeleke huko...
 
WASANII kama hawa wanalipeleka taifa kusikofaa, kumrusha mchemba kwa namna hiyo ni rushwa na ufisadi..

mchemba apimwe kwa hoja, sio matangazo
 
This is June. Then July, August, September. Watu watakuwa wamechoka maana habari za uongo huwa hazina maisha na hapo yale ya ukweli tutayajua OCTOBER.
Nimefurahi sana nilipotembelea kimji kimoja kidogo na baadhi ya watu kuniambia kuwa sasa hivi ukweli na uongo wa wanasiasa wanaujua vyema ila kila opportunity ya kula itokeapo wanakula na kura hawatoi
 
Hao wote ni wasanii. Rais atakayewafaa watanzania atapatikana kwa kuchaguliwa na watanzania.
 
Je akiea fisadi wa kimasai? kwa kweli ndugu yangu hatutaki fisadi hata kama akiwa askof au shehe. NO VOTE FOR FISADI

mkuu usiagaike mwaka huu kuna mdahalo wa watia nia ndani ya ccm ili kumpata atakayepitishwa na vigezo ni

1, Hotuba inayokizi viwango vya kitaifa na kimataifa,
2, takwimu zote za hotuba nzima nusu yake zitoke kichwani.
3, uwezo wa kujieleza na mtililiko wa mawazo pasipo kurudirudia maneno.
4, uwezo wa kusimama si chini ya masaa 3 na kuutubia uma kwa kiwango kinachokubalika.
5, kila mahari alipofanya kazi lazima mafanikio yawe zaidi ya mapungufu
6, Lazima watueleze marafiki zao wa karibu na wawe wanakubalika kwa watanzania kwa viwango vya utumishi bora,

kwanini wameamua hivyo
1, Kupata Rais ambaye atakapo kuwa anatoa hotuba hata umoja wa mataifa ,aionyeshe dunia kuwa watanzania ni wa aina gani na wamuelewa,
2, Tusipate rais ambeye atakuwa anadanganwa na mwzr,maana uwezo wake ni mdogo hat takwimu pg 1 hawezi
3, kuepuka hotuba zisizo na mvuto kwa wasomi na zisizo eleweka mantiki yake ni nini
4, Atakapokwenda kwenye mikutano ya kimataifa na masherehe ya majeshi haweze kufanya vizuri.
5, Tunatambua hakuna mkamilifu lkn haifuti maana ya kuwa razima mafaniko yawe zaidi ya kushidwa.
6, hii ina maana moja tu ndege wanao fanana huruka pamoja,



Kweli ccm mwaka huu wamepania.
 
Back
Top Bottom