ukwelinauwazi
Member
- Nov 24, 2014
- 71
- 91
Waacheni wachague waamini kile wanachoamini ni watanzania wana uhuru wa kuchagua kumpa surpport mtu yeyyote wanayetaka kumwamini
nchi haiwezi kuongozwa na mafia wa kinyiramba
Je akiea fisadi wa kimasai? kwa kweli ndugu yangu hatutaki fisadi hata kama akiwa askof au shehe. NO VOTE FOR FISADI
Watch "PART 1:MWIGULU NCHEMBA ALIVYOCHUKUA FOMU YA KUWANIA URAIS WA TANZANIA" on YouTube - https://youtu.be/X5MjYwcro54
Kwani yeye ni waziri wa Fedha Mwacheni Kijana achukue nchi muone Mziki wake.
Je akiea fisadi wa kimasai? kwa kweli ndugu yangu hatutaki fisadi hata kama akiwa askof au shehe. NO VOTE FOR FISADI