Elections 2015 Kutoka Chuo cha Mipango, Dodoma: Mwigulu Nchemba atangaza nia kugombea Urais

Elections 2015 Kutoka Chuo cha Mipango, Dodoma: Mwigulu Nchemba atangaza nia kugombea Urais

Ndani ya CCM ni Lowassa na Mwigulu tu ndo angalau, natamani sana nione serikali ikiongozwa na Lowassa kama Rais na Mwigulu kama Waziri mkuu.
 
Wadau, tumezoea kuona na hata jana tuliona kuwa watangaza nia huwa wanakaa meza kuu wakiwa na wapambe hasa wale wenye mvuto kwenye jamii ili nao wamsaidie kupiga debe ili kumuongezea credit kwa walengwa. Ila leo tunamshuhudia Mwigulu akiwa meza kuu na familia yake tu! Hii haimaanishi kuwa huyu jamaa ni mbinafsi na kuwa kama tukimpa nchi ataishia kuweka wanafamilia kwenye nafasi muhimu za kiuongozi na kiutendaji? Just curious!
 
Hawa wagombea wakitaja watoto wao wasisahau kutaja na watt wao wa out
 
Hatukatazi wanafunzi kuwa kwenye siasa, tunachohoji ni kwanini uwasombe kwenye Coaster ili waje kukusikiliza mimi sio CDM ila CDM huwa hawasombi mtu kuja kwenye mikutano yao.
Wanafunzi wa chuo ni watu wazima wenye akili zao na uwezo wa kutambua nzuri na baya. Inakuwaje uite watu wazima eti wanasombwa? Ina maana wao hawana uwezo wa kukataa kusombwa? Na what if wao wanafunzi ndio waliokodi magari kwenda kumsikiliza huyo Mwigulu?
 
matatizo ya ccm ni ya kimfumo. hayawezi tatuliwa na watu walewale toka ccm.

Ni kweli mkuu nimemuona asumpta mshama pia humo ndani... Ukiwa na watu wa aina hiyo unatuonyesha kabosa kwamba ni bussiness as usual
 
Tunampongeza Mh Mwigulu Nchemba kuamua kuomba ridhaa ya wanachuo wa vyuo vikuu Dodoma kutangaza nia yake ya kuwania mbio za urais hapo October. Nipo hapa wanafunzi ni wengi ajabu haijawahi kutokea. Hongera sana Mhe.
Hahaha anataka kugombea uraisi wa chuo?
 
Bora huyu katoka kwenye nyumba ya TEMBE na kafika hapo bila Rushwa,nasubiri nimsikilize naona kabisa anaweza ivusha Tanzania
 
Back
Top Bottom