Elections 2015 Kutoka Chuo cha Mipango, Dodoma: Mwigulu Nchemba atangaza nia kugombea Urais

Elections 2015 Kutoka Chuo cha Mipango, Dodoma: Mwigulu Nchemba atangaza nia kugombea Urais

Anatetea wafanyabiashara wadogo kulipishwa kodi, na wageni kupewa misaada wakati hivi sasa ni waziri wa fedha ameshindwa kulitelekeza hilo kila siku migomo ya wafanyabiashara anasubiri awe rais ndio afanye? nasasa wizara yake inahusika na hili?

Ameshindwa hayo ataweza kuipaisha nchi
 
Mwigulu hana jipya! Anayoongea ni kama anaimba BONGO FLEVA; Mambo ya kufikirika yasiyo na mashiko hata kidogo! Huyu mtu ni lazima akumbuke kuwa ameshiriki kwenye matukio mengi yenye sura ya kigaidi na yaliyogharimu maisha ya Watanzania wengi.
 
Hakuna LA maana kama uchumi alikuwa naibu waziri Wa fedha na chamaana alichofanya hamna Leo anapiga kelekele haongehe cha maana matatizo yanajulikana aeleze nini cha kufanya
 
Ina maana Mwigulu kakosa hata mtu wa kumuandalia hotuba ya maana!
 
Goli la penalty ni kichwani zaidi, Tanzania wakikosea tu mafisadi tena 10 years kazi kweli
 
pamoja na kujitahidi kuwashinda kihotuba wenzake km lowasa,na wasira lakn hili alilosema et ataipeleka tz kwenye kipato cha kati cc hatuhitaji kipato cha kat bali tunataka rais atake tupeleka kwenye kipato cha juu kulingana na laslimali za nchi hii.
 
Anatumia muda mwingi kueleza mambo wanayopenda Watanzania. Kilimo ndo kipaumbele chake
 
Lowassa mpaka sasa anashika mkia.. Sinema yake starling kauliwa na adui kuu.. Kingunge alimfunika Lowassa kwenye ukakamavu mpaka speech
 
Back
Top Bottom