Elections 2015 Kutoka Chuo cha Mipango, Dodoma: Mwigulu Nchemba atangaza nia kugombea Urais

Elections 2015 Kutoka Chuo cha Mipango, Dodoma: Mwigulu Nchemba atangaza nia kugombea Urais

Mwigulu hana jipya! Anayoongea ni kama anaimba BONGO FLEVA; Mambo ya kufikirika yasiyo na mashiko hata kidogo! Huyu mtu ni lazima akumbuke kuwa ameshiriki kwenye matukio mengi yenye sura ya kigaidi na yaliyogharimu maisha ya Watanzania wengi.

Matukio yapi ya kigaidi tuhabarishe mkuuu....
 
Anazungumza vitu vya kufikirika...

Kama anaota.
 
Alitakiwa kuhojiwa suala la Tsh.kushuka thamani.sijuwi kama kutakuwa na muda wakuuliza maswali.
 
Huyu broda angesibiri 2025, msimu huu angegombea tu ubunge apate hela ya kula.
 
I see THOMAS SANKARA in MWIGULU NCHEMBA,Kama hayo anayoyaongea yakiwekwa kwenye matendo
 
huyu anataka tuwaze kunywa uji kama yy alivyokua
usishangae mtu kama huyu akatuwekea sheria kwamba mlo wa asbh uwe ni uji wa chumvi ili tuweze kuserve hela ili kupata maendeleo

Si ndo alipofikia kufikiri bora angesema kuboresha maisha ili kila mwananchi aweze kula balanced diet. Hafu hawatii mkazo swala ka la viwanda vidogo na vikubwa ili vijana wengi wapate ajira na tutumie product zetu kukuza uchumi.
 
Kakodi mengi sana kwa kweli naona yamejaa hapa UDOM na wanafunzi wanazidi kumiminika kuingia kwenye gari.

Nchi hii ni shidaaaaa!!!!!

Inabidi uwahurumie maana wengi hawajapewa boom na school imekuwa ngumu. We waache waende. Vipi CIVE yapo au ni social tu
 
Kwa hali ya sasa ililivyo ukija na sera ya kumtaka mtanzania afunge mkanda ili ufufue viwanda si wengi tutakufa kwa msongo wa mawazo, maana maisha yenyewe ni bora kumekucha.
 
Yaan haya maneno anayoyasema Mwigulu yanafanana na yale ya ari mpya, nguvu mpya na kasi mpya ya JK 2005 na watu wanashangilia tuuu.. Ahadi zisizotekelezeka kwa sababu mfumo mzima umeoza na unatakiwa kupigwa chini.. ccm is oudated..
 
  • Thanks
Reactions: Nzi
Back
Top Bottom