Elections 2015 Kutoka Chuo cha Mipango, Dodoma: Mwigulu Nchemba atangaza nia kugombea Urais

Elections 2015 Kutoka Chuo cha Mipango, Dodoma: Mwigulu Nchemba atangaza nia kugombea Urais

Wakati mwingine hata uwezo wa kupambanua hoja ni shida. Unaweza usielewe anachosema hapo!!!

Ana changanya madesa angeainisha afya aeleze in deep atafanya nini. Sema kwa vile hayuko specific anaonekana ana chaganya. Ila mbona akiwa bungeni huwa wanapitisha budget kwa ndioooo nyingi na yeye ni part ya system.
 
Haya anayoyasema.akijifanya mjanja watamtoa kucha na macho.
 
Huyu mh. Anavyoponda utawala utafikiri hayupo kwenye system! Mara mfumo mbovu wa kodi wakati yeye ndo incharg.. Maajabuu

Hana maamuzi ni advisor tu, haki yake mpeni aisee, anafaa kuwa PM wa Lowassa huyu nchi itanyooka, hajaanza kuyasema leo hata bungeni tunamuona akiyasema tangu alipopewa unaibu.
 
Huyu nchemba anaongea tu kwa sababu anajua kuongea
Alisema wezi wa escrow walipe kodi.....sijui walilipa?:-( maana hutukupata feedback

ishu ya escrow atakuwa alipigwa mkwara
 
du dhambi mbaya sana ,huyu jamaa japo simpendi ila anayoyasema kama kweli yanatekelezwa ,ngoja nimuunge mkono nione
 
Wenzake wa chama wanaweza kumpiga chini wakiona kama sio mwenzao kwani wamezoea kula na kusaza. Sasa akiingia uraisi wanaamini atawageuka
 
Umeua mkuu hahahhahah Lizaboni njoo ujibu tuhuma hapa
Mkuu Cargo, hizo si tuhuma bali ndo uhalisia. Situmii ile ya chogo. Nifah anaijua vema coz kuna siku nilimleta home tukaspend one night na ndivyo alivyoenjoy kuiangalia
 
Anaongea vizuri tu ila sasa lichama lao ndo matatizo,halafu baba yake katuangusha wa Tanzania.Wa Jana achinjwe tuuuuu hatakiwi
 
Nimependa speech yake, anaongea sense. Sema ccm ni ccm hapa ni kama tunaburudika tu.

Mkuu umeongea point kubwa.. Hizi ni kauli za kutongozea tu.. Ahadi na kujinasibu lakini kwenye utekelezaji zero.. Huyu ametoka kwenye mfumo ule ule na anaomba uraisi kwenye mfumo ule ule.. Zitabaki kauli za kuhadaa tu ili wapate kura.. ccm ni ya kupigwa chini..!
 
..hapo anamnanga Mzee Mangula, Mzee Kinana, na wakubwa zake ndani ya chama na serikali. huyu kijana hakifiki mbali.
Ila naongea point kusema ukweli,ni kweli kuna vijana hawana kazi huku wengine wanastaafu na kupewa madaraka tena,jamani enough is enough
 
Back
Top Bottom