aikaruwa1983
JF-Expert Member
- May 6, 2011
- 1,398
- 1,500
haya mambo mazuri anayasema kwa nini asingekuwa anamshauri JK ili wananchi tupate auheni ya maisha...
au ndio unafiki wa ccm
au ndio unafiki wa ccm
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wakati mwingine hata uwezo wa kupambanua hoja ni shida. Unaweza usielewe anachosema hapo!!!
hata baba rizi naye aliongela rushwa hivihivi mpaka nikampa kura yangu ,kumbe mbwembwe
Huyu mh. Anavyoponda utawala utafikiri hayupo kwenye system! Mara mfumo mbovu wa kodi wakati yeye ndo incharg.. Maajabuu
Huyu nchemba anaongea tu kwa sababu anajua kuongea
Alisema wezi wa escrow walipe kodi.....sijui walilipa?:-( maana hutukupata feedback
Teh teh teh Mwigulu master.Mbona anainanga mpaka serikali yake
Aisee jamaa anainanga serikali kama inavyokuwa kwa wapinzani bungeni
Mwigulu haya anayoyaongea kuyatekeleza kwenye Chama cha mapinduzi ni ndoto za mchana.
Simba wa Yuda ni Yesu Kristo pekee mbona unampa utukufu usio wake.
Nimependa speech yake, anaongea sense. Sema ccm ni ccm hapa ni kama tunaburudika tu.
Ila naongea point kusema ukweli,ni kweli kuna vijana hawana kazi huku wengine wanastaafu na kupewa madaraka tena,jamani enough is enough..hapo anamnanga Mzee Mangula, Mzee Kinana, na wakubwa zake ndani ya chama na serikali. huyu kijana hakifiki mbali.