Elections 2015 Kutoka Chuo cha Mipango, Dodoma: Mwigulu Nchemba atangaza nia kugombea Urais

Elections 2015 Kutoka Chuo cha Mipango, Dodoma: Mwigulu Nchemba atangaza nia kugombea Urais

haya mambo mazuri anayasema kwa nini asingekuwa anamshauri JK ili wananchi tupate auheni ya maisha...
au ndio unafiki wa ccm
huu ndo unafiki wa viongozi wa ccm wakiwa huko hawaongei?
 
Hivi Chadema wao hamna watangaza nia wao wana mgombea urais wa maisha Dr.Slaa.

Wafuasi wa Chadema masikini ya Mungu wamekosa hii fursa ya kuwajadili wagombea urais.

Lakini bahati nzuri wanawajadili wagombea wa CCM.

Wewe msukule wa lowassa ona kijana anavyomvua nguo tajiri yenu.
 
Kibo 255 kumbuka huyu ni naibu sio waziri sikiliza anachozungumza acha ushabiki

Yeye ni mshauri ya waziri Wa fedha anajiua chama chake kinafanya nini asipingane na ya chama chake alichokuwa anakifanyia kazi kama naibu alitakiwa ashauri chama chake sio kuleta hadithi apa angekuwa mkweli kuhusu ufisadi ata Wa escrow aseme ukweli
 
kwenye gass hatarudia makosa, kama jamaa wanaharakisha kusign mikataba hatakubali, ina maana hakuna mikataba ya gass iliyokwisha sainiwa au jamaa anawaburudisha wasikilizaji.
 
Mimi mpaka sasa simuelewi huyu Mwigulu Nchemba alikuwa na cheo kikubwa chamani akaja akawa waziri na bungeni amekuwepo sasa haya yote kafanya mangapi?? hapa anaongea kama mpinzani aaagh. Hebu aweke mawili tu aliyofanya
 
Last edited by a moderator:
Mchumi katika ubora wake aisee,ana maono ila mfumo ndiyo janga,ngumu kumwamini unless aende upinzani
 
CCM ikimteua Mwigulu kugombea uraisi UKAWA hata wasipoga kampeni watakuwa na uhakika wa kushinda...
 
Mwigulu ana mawazo mazuri lakini hayo mawazo kwa nini hakumshauri Jk ?
 
mwigulu muongo anasema masters alisoma kwa kuponda kukoto na zege wakati alikuwa anamkopo wa B.O.T na alikuwa mtumish pale
 
Back
Top Bottom