Diva Beyonce
JF-Expert Member
- Mar 6, 2014
- 12,913
- 11,271
Diva utakuwa Mtoto wa fis#%$&
Diva yupi huyo.Wako wengi be specific.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Diva utakuwa Mtoto wa fis#%$&
huu ndo unafiki wa viongozi wa ccm wakiwa huko hawaongei?haya mambo mazuri anayasema kwa nini asingekuwa anamshauri JK ili wananchi tupate auheni ya maisha...
au ndio unafiki wa ccm
Hapana mkuu. Kila mtu ana sera zakeHuyu jamaa anastaajabisha. Maajabu.
Teh teh teh Mwigulu master.
Hivi Chadema wao hamna watangaza nia wao wana mgombea urais wa maisha Dr.Slaa.
Wafuasi wa Chadema masikini ya Mungu wamekosa hii fursa ya kuwajadili wagombea urais.
Lakini bahati nzuri wanawajadili wagombea wa CCM.
Kibo 255 kumbuka huyu ni naibu sio waziri sikiliza anachozungumza acha ushabiki
UPDP Maendeleo.Huyu ni wazini wa chama gani
Anasema kukaa sana serikalini hakutoshi kuwa kigezo cha kuwaongoza Watanzania kwani unaweza ukakaa sana lakini ukalisababishia hasara kubwa taifa
Mkuu vipi tena?Teh teh teh Mwigulu master.
Tena wamelewa sijui mvinyo gani huu jamaa kawanywesha- wanapiga kelele kana kwamba mbuzi kapotea kundi lake
Imeshafika Mkuu. Monduli ni chaka la mafisadihaa haa meseji ifike monduli.