Kutoka chuo kikuu hadi kuuza dagaa

safi sana, safi pia kwa kuwa mtu mwema.

Mungu ni mwema sana.
 
Wee unawaona Nani mjinga kutoka 150k had milion 25 HV una waona watu wajinga nn
Kwenye biashara inawezekana Mkuu unadhani hizo hela zinaota kama mahindi inachukua muda sana biashara nyingi zenye mafanikio ni muda sio leo kesho uwe na hizo hela...
 
Umeelewa nini hapo?Wewe majaaliwa yako ni biashara na siyo usomi wa ukunga/midwifery!Umekuwa allocated kiroho bila kujua.Unakomaa na kusoma kumbe huko siyo kwako.
ANGALIZO
Tusome na kuitafuta elimu kwa bidii no matter what!
 
Mtoa mada ana akaunti ambayo ndiyo yatoa majibu humu, maana hiyo account ndo imetaja faida

Jinsi biashara inavyofanyika

Jinsi alivyoshuhudia faida ikipatikana.

Kuweni makini
 
Vijana tunazingua sana

Mtu umefanya Intern mwaka mzima unalipwa ila baada ya miezi michache baada ya kumaliza unakopa 150k.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…