Kutoka dimba la Kambarage, Shinyanga: Stand United yaigaragaza Yanga SC iliyokuwa haijafungwa msimu huu kwa kuifunga goli 1-0

Gooooool gol gol gol gooooooooli

masawe anawapatia stand united chama la wana bao la kuongoza hapa

Hahaha mwana kulitaka, mwana kulipewa

Huyu jaccob masawe ni hatari sana.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…