kikosi cha yanga leo dhidi ya stand united
match time: 10:00 jioni
stadium: ccm kambarage
kikosi:
1.claus kindoki
2.paul godfrey
3.gadiel michael
4.andrew vicent {dante}
5.kelvin yondan
6.abdalah shaibu {ninja}
7.mrisho ngasa
8.feisal salum
9.amis tambwe
10.haruna moshi {bobani}
11.ibrahim ajibu
sub
ibrahim amid
juma abdul
mwinyi haji
deus kaseke
juma makapu
pius buswita
heritier makambo
====
UPDATES:
Mchezo wa Ligi Kuu Tanzania Bara kati ya Stand United na Yanga kwa sasa ni kipindi cha pili Uwanja wa Kambarange, huku kukiwa hakuna timu ambayo imefanikiwa kuona lango la mpinzani.
Yanga wanalazimisha kufika lango la mpinzani, huku Stand United wakicheza kwa kujilinda.
Yanga anaongoza kwa kumiliki mpira akiwa Uwanjani huku mpinzani wake Stand United akicheza kwa tahadhari.
Stand United wanatangulia kupata bao kupitia kwa Nahodha Jacob Masawe dakika ya 88
Dakika 90: Kwa mara ya kwanza tamu msimu uanze, Yanga inapoteza mchezo. Stand United 1-0 Yanga SC