Kutoka dimba la Kambarage, Shinyanga: Stand United yaigaragaza Yanga SC iliyokuwa haijafungwa msimu huu kwa kuifunga goli 1-0

Kutoka dimba la Kambarage, Shinyanga: Stand United yaigaragaza Yanga SC iliyokuwa haijafungwa msimu huu kwa kuifunga goli 1-0

Kuna watu Leo wakiona stand za buss roho zao zinaungulia wanamkumbuka bwana aliyewabikiri stand United
Kwann uteseke Kama vp hamia msimbaz then agiza soda ya barid tukisubir kumchapa mkongo

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Lawama za goli kwa kindoki. Sasa ni wakati wa kocha kupunguza hasira amsamehe kakolanya. Huyu kindoki hastahili kudaka ganga
Povu ruksa

Sent using Jamii Forums mobile app
 
NASKIA MTAA HUU KUNA MTU KATOLEWA BIKRA ZOTE [emoji12][emoji12][emoji12][emoji12][emoji12]
 
  • Thanks
Reactions: Tui
Kindoki msimu huu wa duru hili la pili atawagharimu sana Yanga,Kiuwezo bado sana
 
Nanusa harufu ya damu. Nimepata habari kigori kabikiriwa Stendi ya mabasi Shinyanga.
Leo sijui kocha atalia?
Hawa Stendi hawana heshima kuna wanaume walikuwa wanangoja kubikiri chumbani kwa Mchina wao wanafanyia STENDI.
 
kikosi cha yanga leo dhidi ya stand united
match time: 10:00 jioni
stadium: ccm kambarage

kikosi:
1.claus kindoki
2.paul godfrey
3.gadiel michael
4.andrew vicent {dante}
5.kelvin yondan
6.abdalah shaibu {ninja}
7.mrisho ngasa
8.feisal salum
9.amis tambwe
10.haruna moshi {bobani}
11.ibrahim ajibu

sub
ibrahim amid
juma abdul
mwinyi haji
deus kaseke
juma makapu
pius buswita
heritier makambo
====

UPDATES:
Mchezo wa Ligi Kuu Tanzania Bara kati ya Stand United na Yanga kwa sasa ni kipindi cha pili Uwanja wa Kambarange, huku kukiwa hakuna timu ambayo imefanikiwa kuona lango la mpinzani.

Yanga wanalazimisha kufika lango la mpinzani, huku Stand United wakicheza kwa kujilinda.

Yanga anaongoza kwa kumiliki mpira akiwa Uwanjani huku mpinzani wake Stand United akicheza kwa tahadhari.

Stand United wanatangulia kupata bao kupitia kwa Nahodha Jacob Masawe dakika ya 88

Dakika 90: Kwa mara ya kwanza tamu msimu uanze, Yanga inapoteza mchezo. Stand United 1-0 Yanga SC


Safi sana!!!
 
daah wahuni si watu! wapiga debe wamekata seal ya mtoto wa kishua!!!!
 
Asante Masawe bikra imejileta gheto, umechapa bila kushusha kaptula.
 
Back
Top Bottom