Kutoka dimba la Kambarage, Shinyanga: Stand United yaigaragaza Yanga SC iliyokuwa haijafungwa msimu huu kwa kuifunga goli 1-0

Hivi inamaana watani zangu mliokuwa mmejazana huku mlishindwa kuhamia kwenye ule uzi wa kule CONGO 😜😜😜

Au ndio mliishiwa mabando. πŸ’ƒπŸ’ƒπŸ’ƒ maana nimemuona Da Shunie tu ambaye pia baadae alikimbia. πŸ˜ƒπŸ˜ƒπŸ˜ƒ
 
Uchawii. 😳😳😳

Sema wale sio level zenu.

Unajua pia nikwambie, sasa hivi Congo kuna tension sana kwa sababu za uchaguzi.

Mikusanyiko kama ile kunakuwa na ulinzi mkali tena askari wana mibunduki ya kivita. Hicho kitendo kilitutoa mchezoni kabisa.
 
πŸ˜ƒπŸ˜ƒπŸ˜ƒ inamaana kabla ya hamkuyajua yoye hayo.
 
πŸ˜ƒπŸ˜ƒπŸ˜ƒ inamaana kabla ya hamkuyajua yoye hayo.

Sisi tulijua itakuwa kama kawaida, maana tuna uzoefu wa kucheza mechi za kimataifa na hatujawahi kukutana na hiyo hali.

Unakuta limtu linakuwa kama limekuelekezea mtutu, si shida hiyo!
 
Sisi tulijua itakuwa kama kawaida, maana tuna uzoefu wa kucheza mechi za kimataifa na hatujawahi kukutana na hiyo hali.

Unakuta limtu linakuwa kama limekuelekezea mtutu, si shida hiyo!
🀣🀣🀣🀣 ndio mshakutana nayo sasa.

Ila mtani wacha kuongopa banaaa. Mitutu mbona sikuiona.
 
Utakua hukuangalia vizuri kwa sababu ilikuwa na mawazo ya kufungwa.

Ngoja tujiandae kucheza na Al Ahly.
Tena niliifuatilia kwa umakini acha tu.

Na huko sijui mtazioga ngapi. πŸ˜…πŸ˜…
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…