Haya maneno haya Mkuu. Utakuja kuyakimbiaWaarabu wanakufa asubuhi tu. Wakijitahidi sana wanapata droo.
Sijambo mdogo wangu. Jumapili ya maumivu inasemaje?
Sijambo mdogo wangu. Jumapili ya maumivu inasemaje?
Hahaaaa. Kama wale Wacongo yaani Mkono. Aiseeeeee
NAKUONA TU UNAVYOTESEKA MDOGO WANGU. POLE EEEE.
Mnajisahaulisha maumivu yenu kuwa mmeshatolewa ukigori?NAKUONA TU UNAVYOTESEKA MDOGO WANGU. POLE EEEE.
Na hii inanifanya niamini kweli bao 5 ni noma. π π π
Hiyo Kawaida mbona kama nyie mwaka jana.Mnajisahaulisha maumivu yenu kuwa mmeshatolewa ukigori?
wewe ni pimbi tu, tulipomkanyaga Al ahly kimoko kwa mchina ulikuwa hujazaliwa?
Inaonekana imekuuma sanaeeeee poleeeewewe ni pimbi tu, tulipomkanyaga kimoko kwa mchina ulikuwa hujazaliwa?