Kutoka dimba la Taifa: Simba SC watakata! Wairarua Singida Utd goli 4 kwa nunge, wajikita kileleni kwa alama mbili zaidi

Naona upande wa pili mnawewesek na ushindi wa Simba kwelikweli mkubali tu kuwa Simba ilicheza vyema ya nini kurukaruka ka maharagwe
 
Na ndala zikakutana na mwadui iliyokuwa ikichimba almasi..,hhhhhhhh
Mapovuuu[emoji36] [emoji36] [emoji36] [emoji36] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Mbona Yanga kadroo na Mwadui fc na Azam na lipuli, huna hoja wewe peleka ndoo za kifusi jangwani boti linazama
 

Jamaa chunga muwasho wako kwa simba usipite makalioni itakuwa balaa. 4 G apigwe Singida mimba utunge wewe,inakuwaje
 



[HASHTAG]#Ndala[/HASHTAG] Yupo Wa 5 πŸ˜€ πŸ˜€ πŸ˜€
Hapo utawajua Kama Washabiki Wa Ndala Ni
Shithole_Fanboys pale Wanapowaza Kumpita [HASHTAG]#Simba[/HASHTAG] Wakati Wanashindwa hata Kumfika [HASHTAG]#Singida_United[/HASHTAG]..

sembo demigod
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…