HaipoS26 ultra iko wapi?
Inategemea unalipa kiasi gani kutokea kwenye hio list. Dxomrk siku nyingi walishapoteza credibility.
Picha iliyo editiwa 😄Dunia hii ya AI good camera ya nini. A budget phone with AI camera ambayo ina gpt embedded inatoa image kali.
Uzi wa Mad Max nazingatia sana
How?Dunia hii ya AI good camera ya nini. A budget phone with AI camera ambayo ina gpt embedded inatoa image kali.
Edited photo inajulikana tuPicha iliyo editiwa 😄
Vivo na oppo tunazichukulia poa kumbe ni vyumba hasa?Hakuna kitu ukifananisha na ivyo vyuma.