Kutoka DXOMark, Hii ndio Top 10 ya Simu zenye camera Kali hadi Sasa.

Simu upande wa camera kwenye reviews nyingi na blind tests ni pixel 11 pro XL inaongoza. Ninatumia zote by the way. Ninafahamu strength na power zake zote. Japo natumia pixel zaidi sababu ya features zake. Iphone Bado sana kwenye AI. DxOmark wao test zao zipo very mechanical hazi apply kwenye real life. Ni kama Geekbench scores. Pixel Inascore chini sana lakini ukiitumia ipo fast kuliko simu yeyote. Nenda kwa reviewers ambao hawapo biased kama techarena, etc. HAKUNA SIMU NZURI KWA WATU WENGI KAMA PIXEL. Iphone ipo overrated sana na features nyingi mtu wa kawaida either hajui kama zipo au hajui KUTUMIA. Ni li status symbol tu kwanza Siri AI Bado inazingua sana. Nikitumia iphone naona kama nimebeba likabati tu.
 
iPhone kwa kweli ni status Tu lakini ulimuuliza hata mwenye nayo anatumiaje utashangaa, natumai 15promax lakini naona Raha kutumia Xiaomi Redmi
 
Kuna jamaa kanunua pixel sababu tulienda kwenye concert moja nyimbo zikawa zinajisoma kwenye simu yangu kwa feature ya now playing, zenyewe bila Shazam. Nikamuonesha live translation, na live transcription, baadae nikamuonesha editing za picha aliichukia sana 17 pro yake😂 aliona yuko na likopo tu lakini ni useless.
 
P

Pixel ipi unatumia
 
Hajui kuitumia tu
 
Inategemea unalipa kiasi gani kutokea kwenye hio list. Dxomrk siku nyingi walishapoteza credibility.

Xiaomi ultra series, Samsung Ultra series, pixel series etc ni nzuri kama wengine Hasa kwa test ya Dxomrk ambayo ni picha mnato huku wakitumia tripod, unaweza pia ukamu add Sony kwenye testing suite hio.
Duh pesa unanunua kila mtu aisee
 
Back
Top Bottom