Kutoka DXOMark, Hii ndio Top 10 ya Simu zenye camera Kali hadi Sasa.

Inategemea unalipa kiasi gani kutokea kwenye hio list. Dxomrk siku nyingi walishapoteza credibility.

Xiaomi ultra series, Samsung Ultra series, pixel series etc ni nzuri kama wengine Hasa kwa test ya Dxomrk ambayo ni picha mnato huku wakitumia tripod, unaweza pia ukamu add Sony kwenye testing suite hio.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…