Kutoka Instagram: Mjue Bilionea wa Arusha anayedaiwa kumtoa mdogo wake kafara ili kupata utajiri

[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] noma sana, kweli usitamani mali za mtu mwingi kama biblia inavyo sema. Sababu huwezi jua amezichuma wapi na amezipata pata vipi. Dunia ina mambo wazee wenzangu....
 
Rubbish!
 
Hii ishu nimeshaiongelea mpaka nimechoka.

Tuna Watu Wajinga sijui hata tatizo ni nini.

Mtu unamuamini Mganga na bado unaenda kufanya kazi ndio upate hizo pesa, kama ana uwezo huo wa miujiza kwa nini usilale ndani kwako hizo pesa zije?

Ukichimba Mererani ofcourse una uwezekano wa kupata Tanzanite, na ukiiuza utapata pesa, sasa sijui hapo nafasi ya Uganga na kafara zinazotajwa ni nini?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…