Raynavero
JF-Expert Member
- Apr 29, 2014
- 38,378
- 56,047
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Nita amini sababu wewe si ndiyo muhusika...
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Nita amini sababu wewe si ndiyo muhusika...
Sijawahi kwenda mkuu.Nita amini sababu wewe si ndiyo muhusika...
Hahah.....Waganga wanajifaidia kichizi wakati mwingine
Nenda kwa soudybrownKhaa koote wamefuta watu wanaogopa TCRA
Ibra mtu wa Tanga buanaMachalii wa chuga watakuwa na file,halafu ibra ni mtu wa mbeya
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] noma sana, kweli usitamani mali za mtu mwingi kama biblia inavyo sema. Sababu huwezi jua amezichuma wapi na amezipata pata vipi. Dunia ina mambo wazee wenzangu....Umofia Kwenu wana JF,
Katika kupitapita instagram leo,nimekutana na habari inayomuongelea "Bilionea wa madini" Ibra Mwakichui behind his sucess kwamba alitoa kafara mdogo wake na kumfanya mama yake zezeta.
Taarifa hizo amezitoa mkewe baada ya kuchukizwa kwa kuvuja kwa video ikimuonyesha yupo kwa mganga wa kienyeji akifanyiwa matambiko/tiba.
Nisikuchoshe wala tusichoshane unaweza kuona screenshots za insta.
View attachment 810953
View attachment 810954
Mke anayedaiwa kutoa hayo maelezo ya juu na video yake yake kwa mganga.
View attachment 810961
Mwanamme inayedaiwa aliyevujisha video.
View attachment 810962
View attachment 810963
Clip Samiratha akiwa kwa Mganga,Hii Clip ndio iliyosababisha afichue siri ya utajiri wa aliyekuwa Mumewe.
Na jiulize kabla hawajaruhusiwa mateke ndio yale, je baada ya kuruhusiwa?Wewe kule jela Askari wameruhusiwa kupiga mateke
Kumbe ni Ruth Kawala ,lile toto na tako lake bado hajakua tu ? Ugomvi wake na Samira ni nini ? Hii mitoto ya mjini inasagana sana usikute ni wivu ndio ukaleta haya yote .Huyo hapa View attachment 811365
We bofya pale palipoandikwa off.instagram ni chanel namba ngap dstv mkuu
we si unaona baada ya kumind unafurahia navyokuroga,kombora nlilokurushia limeshatikiHahaha eti ni 'vigagula'Hahaha ,Rafiki we huwezi bana ,acha kunichekesha
Rubbish!Ukiwa na kazi ya kutolala usiku pia
Unatia aibu kwa kuwa mdaku uliyejaaa uongo na nilifikiri unazo hata kidunchu.. kumbe unasukumwa na udaku wa mwenzako aliye ishiwa udaku hadi ana akaunti zingine anapuputia utabia wake..
Umeonyesha wewe unayajua haya.. maana kabla ulilia lia upekwe na kuandika wote wa mataifa tofauti waliofaidi.. mara pwaaaaa ukabadilika baada ya kufata masharti eeeeh ila kimoja kale ka klasi ulidanganya upo nako ukashindwa kukakeep.. kumbe ukageuka kuwa boyaaa.. mwemza huyo..
[emoji23] [emoji23] [emoji23] ,si kweli ,watupa kombora hawasemi,halafu mie mtumishi ujuewe si unaona baada ya kumind unafurahia navyokuroga,kombora nlilokurushia limeshatiki
Ok nimekuaminiSijawahi kwenda mkuu.
Ok nimeaminiSijawahi kwenda mkuu.
Hii ishu nimeshaiongelea mpaka nimechoka.Huyo anayekupa hayo mazingaombwe ya uganga yeye mwenyewe masikini wa kitupwa...
Tupo karne ya 21 ya Sayansi na Teknolojia, watu wanarusha vyombo anga za masafa marefu, ila bado watu wanafikiri kuna pesa za kuteremshwa na waganga.., manabii, wachungaji uchwara......my bro hakunaaaaa....believe me...unachoenda kuambulia huko ni allucination za muda tuu kukuliwaza...
Hakuna kitu kama hicho....Hizo ndo illusion zenyewe...Halafu hizo ni stori, nikikwambia unipe mfano hai wa mtu aliyepata utajiri kwa njia hiyo hutoweza..
Alisoma magogoni ila alikua anakaa hostel za magogoni zilizokua maeneo ya CBE,aliwahi shiriki miss Kigamboni then miss Temeke miaka ileHuyu Demu alisomaga CBE jamani da kweli dunia uwanja wa fujo