Kutoka Instagram: Mjue Bilionea wa Arusha anayedaiwa kumtoa mdogo wake kafara ili kupata utajiri

Kutoka Instagram: Mjue Bilionea wa Arusha anayedaiwa kumtoa mdogo wake kafara ili kupata utajiri

Umofia Kwenu wana JF,

Katika kupitapita instagram leo,nimekutana na habari inayomuongelea "Bilionea wa madini" Ibra Mwakichui behind his sucess kwamba alitoa kafara mdogo wake na kumfanya mama yake zezeta.

Taarifa hizo amezitoa mkewe baada ya kuchukizwa kwa kuvuja kwa video ikimuonyesha yupo kwa mganga wa kienyeji akifanyiwa matambiko/tiba.

Nisikuchoshe wala tusichoshane unaweza kuona screenshots za insta.
View attachment 810953

View attachment 810954
Mke anayedaiwa kutoa hayo maelezo ya juu na video yake yake kwa mganga.
View attachment 810961
Mwanamme inayedaiwa aliyevujisha video.
View attachment 810962
View attachment 810963

Clip Samiratha akiwa kwa Mganga,Hii Clip ndio iliyosababisha afichue siri ya utajiri wa aliyekuwa Mumewe.
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] noma sana, kweli usitamani mali za mtu mwingi kama biblia inavyo sema. Sababu huwezi jua amezichuma wapi na amezipata pata vipi. Dunia ina mambo wazee wenzangu....
 
Ukiwa na kazi ya kutolala usiku pia
Unatia aibu kwa kuwa mdaku uliyejaaa uongo na nilifikiri unazo hata kidunchu.. kumbe unasukumwa na udaku wa mwenzako aliye ishiwa udaku hadi ana akaunti zingine anapuputia utabia wake..

Umeonyesha wewe unayajua haya.. maana kabla ulilia lia upekwe na kuandika wote wa mataifa tofauti waliofaidi.. mara pwaaaaa ukabadilika baada ya kufata masharti eeeeh ila kimoja kale ka klasi ulidanganya upo nako ukashindwa kukakeep.. kumbe ukageuka kuwa boyaaa.. mwemza huyo..
Rubbish!
 
Huyo anayekupa hayo mazingaombwe ya uganga yeye mwenyewe masikini wa kitupwa...

Tupo karne ya 21 ya Sayansi na Teknolojia, watu wanarusha vyombo anga za masafa marefu, ila bado watu wanafikiri kuna pesa za kuteremshwa na waganga.., manabii, wachungaji uchwara......my bro hakunaaaaa....believe me...unachoenda kuambulia huko ni allucination za muda tuu kukuliwaza...


Hakuna kitu kama hicho....Hizo ndo illusion zenyewe...Halafu hizo ni stori, nikikwambia unipe mfano hai wa mtu aliyepata utajiri kwa njia hiyo hutoweza..
Hii ishu nimeshaiongelea mpaka nimechoka.

Tuna Watu Wajinga sijui hata tatizo ni nini.

Mtu unamuamini Mganga na bado unaenda kufanya kazi ndio upate hizo pesa, kama ana uwezo huo wa miujiza kwa nini usilale ndani kwako hizo pesa zije?

Ukichimba Mererani ofcourse una uwezekano wa kupata Tanzanite, na ukiiuza utapata pesa, sasa sijui hapo nafasi ya Uganga na kafara zinazotajwa ni nini?
 
Back
Top Bottom