Kutoka Instagram: Mjue Bilionea wa Arusha anayedaiwa kumtoa mdogo wake kafara ili kupata utajiri

Hata mwanaume....kuna mmoja tulikuwa tukikutana full bible na kunipiga neno...kumbe ni litapeli la mali za watu ila ilibidi liniingie na gia hizo ili nisishtuke!

Mtu ambae anapenda dini kila kitu mtakatifu huwa namkimbia kama ukoma!
Mi mwenyewe mtu anaejifanya mtakatifu nampa kubwa fastaa wengi wanaafiki tu
 
Mkuu we huna pesa?
 
Mhu
Mimi nilifikiri 'Mbingu na nchi na vyote viijazavyo ni mali ya Bwana!'.

Kumbe shetani keshapewa urithi wa kudumu?kwa hiyo mzee baba wewe hutafuti pesa kabisa kwa vile ni ya shetani?Au unaishije hapa duniani?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…