Kutoka Instagram: Mjue Bilionea wa Arusha anayedaiwa kumtoa mdogo wake kafara ili kupata utajiri

Hata mwanaume....kuna mmoja tulikuwa tukikutana full bible na kunipiga neno...kumbe ni litapeli la mali za watu ila ilibidi liniingie na gia hizo ili nisishtuke!

Mtu ambae anapenda dini kila kitu mtakatifu huwa namkimbia kama ukoma!
Mi mwenyewe mtu anaejifanya mtakatifu nampa kubwa fastaa wengi wanaafiki tu
 
YESU hampi mtu pesa mkuu, yeye mwenyewe alisema wazi kabisa kuwa Pesa ni mali ya Kaisari na siyo mali ya MUNGU. Hivyo kama unataka pesa utaipata kwa Kaisari, kwa YESU utapata mambo ya MUNGU. Huo ndiyo UKWELI ulivyo, wengi wanajidanganya, wanafikiri kwa YESU watapata pesa, hakuna pesa kwa YESU.

Sababu pesa siyo mali ya YESU, tena imeandikwa hivi; "na fedha ni shina la maovu yote"..... Sasa jiulize kama fedha ni shina la maovu yote, YESU atakupaje Pesa???
Mkuu we huna pesa?
 
Mhu
Mimi nilifikiri 'Mbingu na nchi na vyote viijazavyo ni mali ya Bwana!'.

Kumbe shetani keshapewa urithi wa kudumu?kwa hiyo mzee baba wewe hutafuti pesa kabisa kwa vile ni ya shetani?Au unaishije hapa duniani?
 
Back
Top Bottom