Kutoka Instagram: Mjue Bilionea wa Arusha anayedaiwa kumtoa mdogo wake kafara ili kupata utajiri

Huyu mwanamke ni mpumbavu wa mwisho kabsa,just imagine wasingegombnaa haya yote tungesikia wapi, pengine nngemuona wa maan kama angekataaa mwanzo kuingia katka ushetani huu kuliko kutuambia wakati siri zao wakati wapo kwenye mgogoro
 
Hiyo video imenipa ushuhuda wa mtu anayethamini kazi yake, yaan dude kama hilo eti mganga kaishia tu kuingiza kidole kwenye nyonyo!!!
 
Watu wanapenda maisha mazuri yenye ukakasi ndani yake

Kabisa ni Upuuzi sana kuishi maisha ya kifahari yakiwa na mafekeche kibao!! Sasa yanini kukaa na majoka,majeneza,mandondocha ndani,kutoa mikafara kuchinja mimbuzi,mikuku na kunywa midamu,kulala makaburini,for what? Kumtafuna dada wa damu au mama kisa utajiri? Fedheha yote ya nini?
 
Huyu mwanamke komesha
 
Napingana na wewe, kuna watu tuna siri siku zikivuja itakuwa Mwisho wa Dunia.

Siri ya wawili ipo.
Mkuu hakuna siri ya watu wawili labda mmoja afe kabla ya kuitoa..

Unaweza ukawa unaona bado siri imefichwa,, kumbe wote wanaijuwa na siri haipo tena,,lakini na wao wameambiwa iwe siri..

Ikabaki kila mmoja anaogopa kuongea pembeni lakini wote wanajuwa Kama ni siri..na taarifa zote wanazo.

Siri ni peke yako mkuu..
Hayo yanayotokea kwa huyo jamaa ni matokeo ya siri ya watu 2.
 
Bora wewe mkuu umeamua kuchoma zako mkaa minjingu
 
Sasa hao wachungaji nao wanatoa
 
Hapo kwenye jiwe la 500 ndipo kadanganya hata kama simfahamu.
 
Kuna mtu ni family member ametoa kafara ndugu yetu ili awe na mali familia nzima haifahamu nafahamu mimi peke angu sasa sijui nimuumbue vipi
 
Kuna mtu ni family member ametoa kafara ndugu yetu ili awe na mali familia nzima haifahamu nafahamu mimi peke angu sasa sijui nimuumbue vipi
Maliza mambo iwe fundisho kwa wengine wenye mipango kama hiyo.
 
Kuna mtu ni family member ametoa kafara ndugu yetu ili awe na mali familia nzima haifahamu nafahamu mimi peke angu sasa sijui nimuumbue vipi
Ulifahamu vp? Maana kumtuhumu mtu kwa kesi kama hiyo si jambo dogo
 
Sitofanya chochote kitakachomdhuru mwanadamu katika utafutaji wa ridhiki,

Mwenyezi Mungu anisaidie, sitoweza kumgusa mama yangu au ndugu yangu yoyote, bora nife masikini.
Ame
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…