Raynavero
JF-Expert Member
- Apr 29, 2014
- 38,378
- 56,047
Anaingiza tuuuRoho inaniuma kichizi demu mzuri namna hiyo anaenda kwa mganga. Hvi mganga hajamwambia kuna dawa anatakiwa aingize mwilini mwake kwa kutumia dushe kweli?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Anaingiza tuuuRoho inaniuma kichizi demu mzuri namna hiyo anaenda kwa mganga. Hvi mganga hajamwambia kuna dawa anatakiwa aingize mwilini mwake kwa kutumia dushe kweli?
[emoji28] [emoji28] [emoji28] [emoji28] anatimiza mila ile wengine ilisasindwa......Huyo mwanamke nae ndo wale wale hana lolote sio kweli kua eti alikua hataki!!!
Mnaafiki tu na anajua kila kitu kinachoendelea siri ya utajiri wao!
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]mashauzi yanataka kafara bibi!!! Uwange haswaa!!Ndo hivyo yani anapenda shirki balaa unaambiwa. Na alietoa video ni shoga ake. Yani nikiona vitu kama hivi naendelea kuridhika na hapa nilipo maana watu wanapitia makubwa kuleta mashauzi mjini
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] mi nisingehata msikiliza mnaafiki tu[emoji28] [emoji28] [emoji28] [emoji28] anatimiza mila ile wengine ilisasindwa......
Kwani na wewe unaendagaNilichoshangaa sana ni kwenda kwa mganga na kupiga picha unachofanyiwa.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] acha unoko, utasababisha vita kuu ya tatuTuwaulize walionaswa walikubali wakiwa na akili zao au walishtuka washaliwa.
Mpemba huyo anajuana kwa vilemba na wenzieKwani na wewe unaendaga
Nikisema siendagi au naendaga utaamini?Kwani na wewe unaendaga
Kumbe je hao masheikh wao wanakua wanamaliza mambo yao ile dua kulisha watoto km kafara yaani ila sio eti kwa ajili ya kusaidia,unagangwa then wanamaliza kulisha yatima au watoto pale ndo hitimisho
Nakuelewa vzr mno ,yaani mno hii kitu nishaona hata Mimi ,unajua DUA kumbe MTU anamaliziwa [emoji23] [emoji23] [emoji23]Huo ndo ukweli....!!!!yaani hao niliokua nawaona miye maana tulikua neighbors mpk nachoka!!!
Mwingine bibi yetu mmoja hivi wa mbali mganga huyo mastaa hawa nacheka kufaaaa!!!wanajifanya Mungu!
Mimi bwana kibongo bongo hapa hawa mastaa[emoji3][emoji16][emoji16][emoji16]sina nnaemuamini eti Mungu nipe....!!!Nakuelewa vzr mno ,yaani mno hii kitu nishaona hata Mimi ,unajua DUA kumbe MTU anamaliziwa [emoji23] [emoji23] [emoji23]
DuuhAnaingiza tuuu
Huyo hapaSamira namjua vizuri huyo shoga ake aliyetoa video anaitwa nani ? Japo initials za majina yake
[emoji3] [emoji3] sasa utafanyaje ukute jamaa ambae hukujua anafanya shirk zake bila wewe kujua na upo nae kwa zaidi ya miaka 5[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] mi nisingehata msikiliza mnaafiki tu
Nnae rafiki yangu wa damu alikubali kumuacha mume kwa mambo ya shirk ni mkaka ana hela balaa ila ni mchawi mfano haupo!!
Dada akasema hapana siwezi akaachia ngazi huyoo amekaaaa ameona sasa anaumbuka ndo wanajifanya fyoko fyoko...mfyuu zake!
Waganga wanajifaidia kichizi wakati mwingineAnaingiza tuuu
Khaa koote wamefuta watu wanaogopa TCRAWamefuta nenda michambo update
Kulalekmimi mda huu niko kwa mganga nakuroga wewe
Nita amini sababu wewe si ndiyo muhusika...Nikisema siendagi au naendaga utaamini?
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] pumbavu zao kumbe wamezoea kuwanawa kina hamisa tu!eeehh!!wao si wanajiweza waweke sasa!!!Khaa koote wamefuta watu wanaogopa TCRA