Kutoka Instagram: Mjue Bilionea wa Arusha anayedaiwa kumtoa mdogo wake kafara ili kupata utajiri

Kutoka Instagram: Mjue Bilionea wa Arusha anayedaiwa kumtoa mdogo wake kafara ili kupata utajiri

Ndo hivyo yani anapenda shirki balaa unaambiwa. Na alietoa video ni shoga ake. Yani nikiona vitu kama hivi naendelea kuridhika na hapa nilipo maana watu wanapitia makubwa kuleta mashauzi mjini
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]mashauzi yanataka kafara bibi!!! Uwange haswaa!!

Na mganga umpate!!!
 
[emoji28] [emoji28] [emoji28] [emoji28] anatimiza mila ile wengine ilisasindwa......
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] mi nisingehata msikiliza mnaafiki tu

Nnae rafiki yangu wa damu alikubali kumuacha mume kwa mambo ya shirk ni mkaka ana hela balaa ila ni mchawi mfano haupo!!

Dada akasema hapana siwezi akaachia ngazi huyoo amekaaaa ameona sasa anaumbuka ndo wanajifanya fyoko fyoko...mfyuu zake!
 
Kumbe je hao masheikh wao wanakua wanamaliza mambo yao ile dua kulisha watoto km kafara yaani ila sio eti kwa ajili ya kusaidia,unagangwa then wanamaliza kulisha yatima au watoto pale ndo hitimisho
Huo ndo ukweli....!!!!yaani hao niliokua nawaona miye maana tulikua neighbors mpk nachoka!!!
Mwingine bibi yetu mmoja hivi wa mbali mganga huyo mastaa hawa nacheka kufaaaa!!!wanajifanya Mungu!
Nakuelewa vzr mno ,yaani mno hii kitu nishaona hata Mimi ,unajua DUA kumbe MTU anamaliziwa [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Samira namjua vizuri huyo shoga ake aliyetoa video anaitwa nani ? Japo initials za majina yake
Huyo hapa
IMG-20180716-WA0027.jpg
 
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] mi nisingehata msikiliza mnaafiki tu

Nnae rafiki yangu wa damu alikubali kumuacha mume kwa mambo ya shirk ni mkaka ana hela balaa ila ni mchawi mfano haupo!!

Dada akasema hapana siwezi akaachia ngazi huyoo amekaaaa ameona sasa anaumbuka ndo wanajifanya fyoko fyoko...mfyuu zake!
[emoji3] [emoji3] sasa utafanyaje ukute jamaa ambae hukujua anafanya shirk zake bila wewe kujua na upo nae kwa zaidi ya miaka 5
 
Mbona wa kinga hiyo ni sehemu ya mafanikio ambayo inajulikana kabisa......sema hao wapuuzi wamechemka sana, huyo mumewe sasa hivi sijui anaangaliana vipi na ukoo wake.
 
Back
Top Bottom